WADAU GEORGE RAPHAEL NA VICTORIA MOLLEL WAFUNGA PINGU ZA MAISHA JIJINI DAR ES SALAA,
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Bwana harusi, George Raphael (kushoto) na mkewe Victoria Mollel (kulia) wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Ushirika wa Ubungo, Lutherani Jijini Dar es salaam. Ibada hiyo ya ndoa iliyoongozwa na Mchungaji Godliste Nkya.
Bibi harusi, Victoria Mollel katika pozi
Bwana harusi, George Raphael
Bwana na Biharusi wakiwa katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha
Maharusi katika Picha ya familia ya pande zote mblili
Maharusi na wapambe katika picha ya pamoja
Pozi kwa pozi
Victoria Mollel akipunga mkono akiondoka Kanisani baada ya kufunga pingu za Maisha na mpendwa mume wake, George Raphael nakuelekea kupiga picha katika eneo la Chuo Cha Sheria Sinza Jijini Dar es Salaam, ambapo Sherehe ilifanyika katika Ukumbi uliopo hapo hapo katika Chuo hicho
Maharusi katika pozi wakisaidiwa na wapambe wao kwa kushika shera ya biharusi
Bwana harusi George Raphael na Victoria Mollel wakiwa katika pozi
Biharusi, Victoria Mollel katika picha ya pamoja na familia ya pande mbili, kushoto ni mama Mzazi wa Biharusi Victoria Mollel , Julieth Mollel
Biharusi Victoria Mollel akiwa Saloon
Wapambe wa maharusi Imanuel Zakayo na mkewe Daisy Mbowe wakiwa katika picha ya pamoja ambao ni mke na mume
Mchungaji Godliste Nkya akiwakabidhi Cheti cha Ndoa baada ya kufunga pingu za Maisha
Wasaa wa kiapo cha ndoa
Wazazi na wapambe wakitoka Kanisani baada ya kufunga pingu za maisha
Wasaa wa kulishana keki ishara ya upendo
Maharusi wakikata Keki
Wapambe wa maharusi katika ubora wao
Picha na Khamis Mussa
No comments: