LIVE STREAM ADS

Header Ads

WALIOSAIDIA KUZIMA MOTO KITUO CHA DATA CHA TIGO MKOANI MOROGORO WATUNUKIWA VYETI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Afisa mkuu wa ufundi na miundombinu kutoka Tigo, Jerome Albou, akimuonyesha mbunge wa mjimbo la Morogoro mjini, Aziz Abood juzi,mtambo wa 4G mkoani Morogoro, mara baada ya kukabidhi vyeti kwa wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.
Na Krantz Mwantepele
Mbunge wa mjimbo la Morogoro mjini, Aziz Abood akihutubia Mbunge wa mjimbo la Morogoro mjini, Aziz Abood akihutubia 
wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.

Mkurungezi wa Tigo Kanda ya Pwani akihutubia wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.
Afisa mkuu wa ufundi na miundombinu kutoka Tigo, Jerome Albou akikabidhi cheti kwa mmoja kati ya wananchi 49 kata ya Mji Mwema waliosaidia kuzima moto uliotokea kwenye kituo cha kurushia mawasiiano cha Tigo(Data Centre) kata ya Mjima Mkoani humo mwishoni mwa mwaka jana.
Wananchi 49 wa kata ya Mji Mwema waliosaidia kuzima moto uliotokea kwenye kituo cha kurushia mawasiiano cha Tigo(Data Centre) kata ya Mjima Mkoani humo mwishoni mwa mwaka jana
 Kituo cha kurushia mawasiiano cha Tigo (Data Centre) kata ya Mjimwema  Mkoani humo kilichonsurika kuungua kwa moto mwishoni mwa mwaka jana

No comments:

Powered by Blogger.