LIVE STREAM ADS

Header Ads

WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

WITO KWA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA ULIOKUWA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU

UPIMAJI ULIOFANYIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI.

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unawakaribisha walioorodheshwa hapo chini kufika katika ofisi za OSHA zilizopo Kinondoni Manyanya karibu na Mahakama Kati ya tarehe 26 na 27 Januari mwaka huu ili waweze kupewa majibu yao. Tangazo hili linawahusu waliopimwa Muhimbili tu. Waliopimwa Bugando wanaombwa kusubiri tangazo jingine.



Imetolewa na:
MTENDAJI MKUU
WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI (OSHA)
S.L.P 519, MAHAKAMA ROAD KINONDONI
DAR ES SALAAM.

No comments:

Powered by Blogger.