LIVE STREAM ADS

Header Ads

WIMBO MPYA WA ASILI WENYE VIONJO VYA KISASA KUTOKA KWA SEKO BWAY-NZUGWI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Pata fursa ya kusikiliza wimbo mpya wa asili ya kisukuma kutoka kwa mwanamuziki Seko Bway. Wimbo unaitwa Nzugwi na umeimbwa kwa vionjo vya muziki wa kisasa. Umetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records ya Jijini Mwanza. Wasiliana na uongozi kwa nambari 0789 04 23 29
Bonyeza hapa kusikiliza

No comments:

Powered by Blogger.