LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Sherehe za kumbukizi ya maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM yameadhimishwa Kata ya Kimbiji Wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaa.

Mgeni rasmi akiwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Comrade Rodrick Mpogolo.

Kulikuwa na michezo mbalimbali ya kusheheresha kama vile kukimbiza kuku, kunywa soda kwa haraka, kuvuta kamba na mpira wa miguu. Washindi walizawadiwa pesa, kuku na jezi.

CCM MPYA, TANZANIA MPYA!
Na Emmanuel J. Shilatu

No comments:

Powered by Blogger.