ILIVYOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CCM IKUNGI MKOANI SINGIDA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipokelewa na Mwennyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Hassan Tate, mara baada ya kuwasili katika Sherehe za Maadhmisho ya Miaka 40 ya CCM mwaka huu 2017.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka
Hamdu Shaka akikabidhi ahadi yake ya kuchangia Mifuko 100 ya Simenti kwa
ajili ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha mpetu kata ya muntiri kwa
diwani wa Viti Maalum Tarafa ya ihanja Wilaya ya Ikungi Bi;Theresia Nkui
Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki
shughuli za Ufya tuaji wa matofali katika Ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya
ya Ikungi mkoani Singida katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya
kuzaliwa kwa CCM
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipanda mti katika kiwanja cha CCM wilaya
Ikungi Mkoani Singida wa nne kushoto ni Mhe DC wa Wilaya hiyo Miraji Jumanne Mtaturu
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kulia akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu alipofika katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki katika Ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Unyaghumpi
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki Zoezi la Uwezekaji wa Mabati katika choo cha waalimu shule ya msingi Unyaghumpi wilayani Ikungi
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akigawa Bendera Kwa Mabalozi na Makatibu wa Matawi Mbali mbali katika wilaya ya Ikungi katika Sherehe za kuadhimisha Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki zoezi la uwezekaji wa mabati katika choo cha waalimu shule ya msingi Unyaghumpi Wilayani Ikungi
Picha na Fahadi Siraji @UVCCM
No comments: