LIVE STREAM ADS

Header Ads

MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA.

Kuanzia hii leo Februari hadi Februari 26, 2017, kutakuwa na mkutano mkubwa wa injili utakaoambatana na mafundisho mbalimbali.

Ni katika viunga vya Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko Kuu la Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola.

BMG imewashuhudia wahumiri kutoka nchini Canada wamewasili Jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano huo akiwemo Mchungaji Fred Mitchel, Mchungaji Fredrica Walters na wengine wengi.

Watu wote kwa makundi yote kama vile wanandoa, vijana, wanawake/wasichana, wajane na watoto wanakaribishwa kwenye mkutano huo.
Mawasiliano, 0767749040 Dkt.Kulola kwa ushauri zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.