BARAZA LA MADIWANI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM LAJADILI SHUGHULI ZA MAENDELEO.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Na. John Luhende, Dar
Wakichangia katika ajenda ya fedha na uchumi wamesema kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu, halmashauri hiyo ni vyema ikabuni vyanzo vingine vya mapato badala ya kuendelea kutegemea vyanzo vilevile ikiwemo maduka na ushuru wa mabango ya matangazo ambavyo sasa vinaonekana kulegalega .
Aidha madiwani hao walisema zaid i ya Maduka miambili ya mefungwa na kutokana hali ngumu ya biashara , na wameshauri kutambuliwa kwa vituo vya boda boda na wamachinga wanaofanya biashara katikati ya jiji kulipa ushuru ili kuongeza pato katika manispaa hiyo.
Katika hatua nyingine madiwani walijadili kuhusu matokeo mabaya ya kidato channe ambapo shule ya mwisho kitaifa imetoka katika jimbo la ukonga ,akichagia katika baraza hilo Mbuge wa jumbo la ukonga,Mwita Waitara amezitajabaadhi ya sababu zilizo changia matokeo mabaya katika shule hiyo ni umbali , utoro na ukosefu wa usafiri kutoka na ubovu wa miundombinu,kunako wafanya wanafunzikichelewa masomoni.

No comments: