LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: BODABODA AFARIKI BAADA YA KUGONGANA NA GARI LA MBUNGE WA TARIME MJINI.

Dereva bodaboda mmoja amefariki dunia papo hapo katika eneo la Masanza Kona mkoa wa Simiyu, baada ya kugongana na gari la Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini mkoani Mara, Mhe.Esther Matiko. 

Majeruhi wa ajali hiyo iliyotokea majira ya saa nne usiku kuamkia leo, akiwemo Mhe.Matiko aliyepata majeraha kiasi inaendelea vyema.

Binagi Media Group inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa bodaboda aliyefariki dunia pamoja na Mhe.Matiko kutokana na ajali.

No comments:

Powered by Blogger.