LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAMASHA LA NYANZA FESTIVAL 2017 LANUKIA.

Tamasha kubwa "Nyanza Festival 2017" litafanyika Mwezi April Jijini Mwanza. 

Hili ni jukwaa la kipekee kwa Wanatasnia mbalimbali Kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla, kuonesha uwezo wao tofauti na majukwaa yaliyopita. Kumbuka ni jukwaa ambalo linaandaliwa na Wanatasnia wenyewe.

Karibu tufanikishe tamasha hili kubwa na la kipekee. 0757432694 Afisa Habari, Nyanza Festival 2017! @nyanzafestivaltz @gbpazzo @bmghabari 

No comments:

Powered by Blogger.