"April 08 miaka michache iliyopita ulizaliwa #Malikia wangu wa nguvu @pendopaulsen #MrsGBPazzo Nakutakia maisha mema na yenye fanaka tele.Mwenyezi Mungu akubariki.Kumbuka Nakupenda Sana mrembo wangu". George Binagi GBPazzo, Mwasisi wa BMG.
No comments: