LIVE STREAM ADS

Header Ads

HATIMAYE MTI WA AJABU WANG'OLEWA JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Hatimaye Binagi Blog imeshuhudia mti uliokuwa umeshindikana kung'olewa katika eneo la Pasiansi Jijini Mwanza, hii leo majira ya saa tatu asubuhi uking'olewa baada ya timbwili la muda mrefu.

Ilidhaniwa kuna ushirikina katika eneo hilo ambalo kuna zoezi la upanuzi wa barabara inayoelekea uwanja wa ndege wa Mwanza na hivyo zoezi la kuung'oa mti huo kuleta ugumu tangu juzi jumapili.

No comments:

Powered by Blogger.