LIVE STREAM ADS

Header Ads

ZOEZI LA KUUNG'OA MTI WA MAAJABU JIJINI MWANZA LAENDELEA SIKU YA PILI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Wakazi na watumiaji wa barabara ya Pasiansi Jijini Mwanza, jana jioni wamepigwa na butwaa baada ya kushuhudia kimbwanga ajabu cha mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using'olewe.

Tukio hilo limetafsiriwa kuwa la kishirikina ama mazingaombwe ikizingatiwa kwamba si jambo lenye uhalisia mti kuongea kama binadamu.

Katika eneo la Pasiansi Jijini Mwanza kuna upanuzi wa barabara inayoelekea Uwanja wa ndege wa Mwanza.

Shughuli ya kuung'oa mti huo aina ya mwembe bado inaendelea ambapo mamia ya wananchi wamejitokeza kushuhulia shughuli hiyo.
#BMGHabari

No comments:

Powered by Blogger.