LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAAJABU: MTI WAZUNGUMZA JIJINI MWANZA UKIPINGA KUKATWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Wakazi na watumiaji wa barabara ya Pasiansi Jijini Mwanza, leo jioni wamepigwa na butwaa baada ya kushuhudia kimbwanga ajabu cha mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga usikatwe.

Tukio hilo limetafsiriwa kuwa la kishirikina ama mazingaombwe ikizingatiwa kwamba si jambo lenye uhalisia mti kuongea kama binadamu.

Katika eneo la Pasiansi Jijini Mwanza kuna upanuzi wa barabara inayoelekea Uwanja wa ndege wa Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.