LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUHUSU KIAPO CHA IGP SIRRO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

#BMGHabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli leo amemuapisha Kamishina wa polisi Simon Sirro kuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP.

Kabla ya kuapishwa kwa IGP Sirro kuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini, Rais Magufuli amemvua cheo cha zamani cha Kamishna wa polisi na kumvalisha cheo kipya cha Inspekta jenerali wa polisi.
Katika hafla hiyo, pia IGT Mangu amekula kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa Utumishi wa Umma, kilichoongozwa na katibu wa utumishi wa umma kutoka sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma, Marko Kaole.

IGP Mangu amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye uteuzi wake ulitenguliwa jana na Rais Magufuli ambapo taarifa ya kurugenzi ya mawasiliano ikulu imeeleza kwamba atapangiwa kazi nyingine.

No comments:

Powered by Blogger.