ISHARA ZA USHIRIKINA KWENYE MCHEZO WA MBAO NA YANGA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Dalili zilizoashiria za kishirikina kwenye mchezo wa Mbao na Yanga, kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza jana jumamosi, Mei 20,2017. Mbao alishinda 1-0 dhidi ya Yanga. Hata hivyo Yanga alitawazwa bingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2016/17.
#BMGHabari
Kikosi cha Mbao FC
Kikosi cha Yanga SC
Tazama video hapo chini kupitia #BMGHabari
No comments: