LIVE STREAM ADS

Header Ads

UBINGWA WA YANGA LIGI KUU WAINGIA DOA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Timu ya soka ya Mbao Fc (pichani) yenye maskani yake mitaa ya Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza kwa mara nyingine imepeleka kilio mitaa ya Jangwani Jijini Dar es salaam baada ya kuitungua bao 1-0 timu ya Yanga kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2016/17, kupitia kwa mchezaji wake Habib Haji dk 25 kipindi cha kwanza.

Hata hivyo licha ya ushindi huo wa Mbao Fc, timu ya Yanga imetangazwa bingwa wa ligi hiyo, baada ya mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
#BMGHabari
Kikosi cha Yanga
Waamuzi wa mchezo huo
Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, akikagua timu
Mbao Fc watajivua mlinda mlango wao kwani ameokoa mipira hatari langoni mwa timu hiyo
Mashabindi kindakindaki wa Mbao Fc
Mashabindi kindakindaki wa Mbao Fc
Vimbwanga kwenye jukwaa la timu ya Mbao
Mchezo huu ulijawa na vituko
Mnazi wa timu ya Yanga na mwigizaji wa Bongi Movie, Mboto (kushoto) na Mtangazaji wa Redio Free, Kijukuu (kulia) wakifuatilia mtanange huo
Wachezaji Mbao Fc wakipongezwa baada ya mchezo
Wachezaji Mbao Fc wakipongezwa baada ya mchezo
Wachezaji wa Yanga wakipongezwa baada ya kubeba ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2017
Wachezaji wa Yanga wakipongezwa baada ya kubeba ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2017
Kikombe cha mshindi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara 2017, Yanga wakifurahia kikombe chao
Wana Yanga wakifurahia ubingwa wao
Kocha wa Yanga akizungumzia mchezo huo
Mchezaji wa Yanga akizungumzia mchezo huo
Shabiki wa Yanga, mwigizaji Mboto, akizungumzia ubingwa wa timu hiyo
Shabiki wa Yanga akizungumzia ubingwa wa timu hiyo
Kiongozi wa Mbao Fm akizungumzia mchezo huo

No comments:

Powered by Blogger.