LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUHUSU MAUTI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOANI KILIMANJARO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

#BMGMtandaoni
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Mzee Philemone Ndesamburo amefariki Dunia asubuhi ya leo.

Taarifa za awali inaelezwa kuwa, Mzee Ndesamburo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na baadae akakimbizwa Hospitalini hapo kwa matibabu.

Mzee Ndesamburo amekutwa na mauti hayo akiwa katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi ambapo Katibu wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho.

No comments:

Powered by Blogger.