SABABU ZA KATIBU KUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUTUMBULIWA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

#BMGMtandaoni
Rais wa John Magufuli ameeleza kwa nini alimfukuza kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa.
Rais Magufuli amesema alichukua uamuzi huo kutokana na Profesa huyo kuieleza Kamati ya Bunge kiasi ambacho kilikuwa kipo kwenye makontena ya dhahabu ambacho hakikuwa sahihi
Profesa Ntalikwa alifutwa kazi na Rais Magufuli mwezi Machi mwaka huu ikiwa ni siku chache baada ya kufanya ziara ya kushtukiza bandarini.
Rais Magufuli ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya kamati ya kwanza aliyoiunda kuchunguza ukweli kuhusiana na mchanga wa madini uliokuwa ukisafirishwa kwenda nje ya nchi.

No comments: