LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAHADHARI YA UGONJWA WA EBOLA MKOANI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

#BMGHabari
Baada ya Wizara ya Afya kuutaja mkoa wa Mwanza kuwa miongoni mwa mikoa inayopaswa kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa wa Ebola, wadau wa afya mkoani humo wamekutana na kupeana elimu na mikakati ya kupambana na ugonjwa huo.

No comments:

Powered by Blogger.