LIVE STREAM ADS

Header Ads

WANANZENGO WA 102.5 LAKE FM MWANZA WALIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mei Mosi 2017, umefanyika uzinduzi wa kampeni ya "Ng'arisha Nzengo, Uchafu Nuksu" inayoratibiwa na 102.5 Lake Fm Mwanza @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo

Kampeni inalenga kuhamasisha jamii kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote huku Wananzengo wa minadani wakipata fursa ya kipekee. 


Endelea kuitegea sikio 102.5 #LakeFm Mwanza kwa burudani na habari zaidi.

@bmghabari @gbpazzo ©Ng'arishaNzengoUchafuNuksi√√√√

No comments:

Powered by Blogger.