LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAMA KOMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

 Marehemu Happyfania Komba enzi za uhai wake. Happyfania Komba alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi akiwa usingizini na mazishi yake yatafanyika leo Tunduru mkoani Ruvuma.
Waombolezaji wakiaga mwili wa Happyfania Komba.


 Mwili wa marehemu ukiagwa.
 Mtoto wa marehemu, Exavery Komba akisaidiwa na wenzake wakati akitoa heshima za mwisho kwa mama yake.
 Shangazi yake marehemu Winfrida Komba akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga mpendwa wake.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712727062)

No comments:

Powered by Blogger.