LIVE STREAM ADS

Header Ads

TEIC 2017 Get Together Party Dodoma

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mkutano wa wadau wa sekta ya uziduaji (Madini, Mafuta na Geisi) umetamatika Mjini Dodoma jana, huku baadhi ya maazio ya mkutano huo yakiwa ni asasi za kiraia kushiriki na kushirikishwa ipasavyo katika mijadala ya inayohusu manufaa ya rasilimali za taifa.

Baada ya mkutano huo wa siku mbili kutamatika katika ukumbi wa St.Gasper, ilifuatia hafla ya jioni iliyofanyika Royal Village Hotel ambapo washiriki kutoka asasi mbalimbali ndani na nje ya nchi walijumuika pamoja.

Mkutano huo huandaliwa na umoja wa asasi zinazojihusisha na masuala ya utawala bora nchini uitwayo HakiRasilimali ambapo asasi hizo ni pamoja na ADLG, Governance Link, HakiMadini na Policy Forum.

BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments:

Powered by Blogger.