LIVE STREAM ADS

Header Ads

VijanaJijini Dar wajadili maswala ya Uchumi, Demokrasia na Maendeleo kitaifa

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mtoa mada na Mchambuzi wa Sera na Utafiti wa Kujitegemea Prof Marjorie Mbilinyi akiongea na washiriki wa Mkutano wa Vijana uliojadili maswala ya Ukosefu wa ajira, Ushiriki katika Demokrasia na Maendeleo, uliokuwa na kauli mbiu, ‘Vijana ni wadau katika upatikanaji wa suluhisho katika Jamii, Uchumi na Changamoto za kisiasa. 

Mkutano huo ulifanyika jana Jijini Dar es Salaam Novemba 3, 2017 kwa udhamini wa Taasisi ya Kijerumani ya Friedrich Ebert Stiftung (FES). 
Washiriki wa Mkutano wa Vijana uliojadili maswala ya Ukosefu wa ajira, Ushiriki katika Demokrasia na Maendeleo, uliokuwa na kauli mbiu, ‘Vijana ni wadau katika upatikanaji wa suluhisho katika Jamii, Uchumi na Changamoto za kisiasa. Mkutano huo umefanyika jijini Dar es Salaam Novemba 3 2017 kwa udhamini wa Taasisi ya Kijerumani ya Friedrich Ebert Stiftung (FES)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Vijana uliojadili maswala ya Ukosefu wa ajira, Ushiriki katika Demokrasia na Maendeleo, uliokuwa na kauli mbiu, ‘Vijana ni wadau katika upatikanaji wa suluhisho katika Jamii, Uchumi na Changamoto za kisiasa wakifauatilia mada
Waratibu Miradi wa Taasisi ya Kijerumani ya Friedrich Ebert Stiftung (FES) Anna Mbise na Amon Petro, wakiandaa mada za kuwasilishwa na watoa mada wakati wa kuanza kwa mkutano huo.
Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Kijerumani ya Friedrich Ebert Stiftung (FES), Dkt. Stefan Chrobot akiongea na washiriki wa Mkutano wa Vijana uliojadili maswala ya Ukosefu wa ajira, Ushiriki katika Demokrasia na Maendeleo, uliokuwa na kauli mbiu, ‘Vijana ni wadau katika upatikanaji wa suluhisho katika Jamii, Uchumi na Changamoto za kisiasa.
Picha na Robert Okanda

No comments:

Powered by Blogger.