LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tamasha kubwa la samaki na burudani Jijini Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake wametakiwa kujiandaa vyema katika kuelekea kwenye sikukuu kubwa ya misosi na burudani Kanda ya Ziwa, itakayofanyika kwa siku mbili mfululilo yaani jumamosi Novemba 04 na jumapili Novemba 05 mwaka huu.
BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments:

Powered by Blogger.