LIVE STREAM ADS

Header Ads

Baraza la madiwani Jijini Mwanza bado kizungumkuti

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Baraza la madiwani katika halmashauri ya Jiji la Mwanza limeendelea kukumbwa na sintofahamu, baada  ya baraza hilo kushindwa kuendelea na vikao vyake.
Diwani wa Kata ya Butimba, John Pambalu akizungumza na wanahabari nje ya ukumbi wa mikutano
Katibu wa CCM mkoani Mwanza, akizungumza na wanahabari nje ya ukumbi wa mikutano.
Na Judith Ferdinand

No comments:

Powered by Blogger.