LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makamu wa Rais awasili mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewasili Mkoani Songwe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa katika uwanja wa Ndege wa kimataifa Songwe mapema leo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tano.
Picha na Songwe RS.

No comments:

Powered by Blogger.