Baraza Kuu la UVCCM lakutana Jijini Dodoma
Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akivalishwa skafu baada ya kuwasili katika Ukumbi wa CCM White House Jijini Dodoma

Meza kuu ikiimba pamoja na Wajumbe wa Baraza kuu

Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiimba nyimbo baada ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa ambaye pia ni Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao Cha Baraza kuu ala UVCCM Taifa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akizungumza kuwakaribissha wajumbe wa kikao cha Baraza kuu kilicho fanyika Jijini Dodoma leo


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Kheri D James akizungumza wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi kufungua kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Kilichofanyika Jijini Dodoma leo

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akifungua kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM kilichofanyika Jijini Dodoma leo



Wajumbe wa Baraza Kuu wakifuatilia mkutano

Wabunge na wawakilishi wa nao tokana na Umoja wa Vijana


Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Bi.Tabia Mwita akitoa neno la Shukran Kwa Mgeni rasmi baada ya kikao cha Kufunguliwa na Katibu Mkuu wa CCM

Mbunge wa Nzega Mhe. Hussein Bashe akizungumza kwa niaba ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi katika kikao cha Baraza Kuu la Uvccm Taifa.

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini akizungumza kwa niaba ya serikali katika kikao cha Baraza Kuu la UVCCM leo Jijini Dodoma.
Imeandaliwa na Fahadi Siraji @UVCCM
No comments: