LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ratiba na shughuli atakazofanya Rais Magufu mkoani Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (pichani) anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Mwanza jumatatu Septemba 03- 04, 2018.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella amezungumza na wanahabari na kuweka wazi ratiba ya ziara hiyo pamoja na shughuli atakazofanya Mhe. Rais Magufuli.

Bonyeza PLAY kuatazama BMG Online Tv

No comments:

Powered by Blogger.