LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kauli ya kwanza ya DC mpya wa Ilemela baada ya kuanza kazi

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mkuu mpya wa wilaya Ilemela Mhe.Dkt.Severine Lalila jana amemwakilisha Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella kwenye ufunguzi wa maonesho ya Nane Nane Kanda ya Ziwa Magharibi yanayofanyika uwanja wa Nyamhongolo Jijini Mwanza na akatumia fursa hiyo kutoa kauli yake ya kwanza akiwa kazini baada ya kuapishwa juzi.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

No comments:

Powered by Blogger.