LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mapokezi ya Rais Mstaafu Benjamini Mkapa Jijini Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella (kulia), akisalimiana na Rais Mstaafu awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa (kushoto), baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza.

Mhe.Mkapa ambaye pia ameambatana na mkewe Mama Anna Mkapa amewasili Jijini Mwanza, akiwa njiani kuelekea Bariadi mkoani Simiyu kwenye kilele cha Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Nyakabindi. 
Picha na Mood, TZA

No comments:

Powered by Blogger.