LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa Mwanza azindua zoezi la ugawaji Pasipoti za Kielekitroniki

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella (kulia) amezindua zoezi la ugawaji hati za kusafiria za kielekitroniki (passport) huku akiwa raia na kiongozi wa kwanza mkoani Mwanza kupokea hati.

Zoezi la uzinduzi huo limefanyika leo katika ofisi za uhamiaji mkoa wa Mwanza ambapo jumla ya waombaji 19 waliokidhi vigezo wamekabidhiwa hati zao.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella (kulia) akipokea hati yake ya kielekitroniki kutoka kwa Afisa Uhamiaji mkoani Mwanza DCI. Paul Eranga
Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi (kushoto) akipokea hati yake ya kusafiria ya kielekitroniki kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella
MNEMwita Gachuma ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mara
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella akizungumza kwenye uzinduzi wa zoezi la ugawaji hati za kusafiria za kielekitroniki
Mkuu wa Wilaya Nyamagana Mhe. Dkt. Philis Nyingi akizungumza kwenye uzinduzi wa zoezi la ugawaji hati za kusafiria za kielekitroniki
Afisa Uhamiaji mkoani Mwanza DCI. Paul Eranga
Awali mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella akisaini kitabu cha wageni alipofika kwenye ofisi za idara ya Uhamiaji mkoani Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.