Mvua yakwamisha moto wa Simba nchini Uturuki
Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.
Picha za mchezo wa jana kati ya Simba SC na Mouloudia Oujda uliopigwa katika kiwanja cha hoteli ya The Green Park kilichopo katika mji mdogo wa Kartepe Kocael nchini Uturuki.
Goli la Mouloudia Oujda lilifungwa dakika ya 55 na goli la Simba lilifungwa na Adam Salamba dakika ya 58. Katika dakika ya 56 mvua kubwa ilianza kunyesha wakati mchezo ukiendelea na hivyo ilipofika dakika ya 61 mwamuzi alisimamisha mchezo na dakika ya 65 alimaliza mchezo huo.
Picha na Rabi Hume, Uturuki
No comments: