LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ulinzi kuimarishwa Jijini Mwanza kwa kamera za kisasa

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Uongozi wa kampuni mpya ya ulinzi ya “Power Shield Security Services Ltd” iliyozinduliwa jana Jijini Mwanza, umeahidi kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kwa kutumia askari wake wenye weledi wa hali ya juu pamoja na vifaa vya kisasa ikiwemo kamera.
PIA SOMA Mkuu wa Mkoa Mwanza azindua kampuni ya “Power Shield Security Services Ltd”

No comments:

Powered by Blogger.