Mwaka mmoja baada ya Lisu kushambuliwa, Msukuma amezungumza
Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.
Tundu Lisu ambaye ni mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki
(Chadema) alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 07, 2017
Mjini Dodoma. Mwaka mmoja leo mbunge Joseph Kasheku Msukuma (CCM) amezungumza.
No comments: