LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA: Ufafanuzi kuhusu mikataba aliyoshuhudia Rais Magufuli

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) imeingia mikataba minne na kampuni za Korea Kusini kwa ajili ya ujenzi wa meli mpya katika Ziwa Victoria, chelezo pamoja na ukarabati wa meli za MV. Victoria na MV. Butiama yenye thamani ya shilingi bilioni 152.

Kaimu Mkurugenzi wa MSCL, Eric Hamissi (pichani juu) ametoa ufafanuzi wa mikataba hiyo kwenye hafla iliyofanyika leo kwenye bandari ya Mwanza Kusini na kushuhudiwa na Rais Dkt. John Magufuli.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella akitoa salamu zake kwenye hafla hiyo
Mikataba iliyosainiwa
Wadau mbalimbali walioshuhudia hafla hiyo

No comments:

Powered by Blogger.