LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ujenzi wa barabara Kinondoni Mkwajuni hadi Mango kupitia polisi unaendelea kwa kasi

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

 Uchimbaji wa barabara hiyo inayotoka Kinondoni Mkwajuni nyuma ya Muslim ukiwa unaendelea.
 Moja ya Greda likiendelea na kazi ya uchimbaji wa barabara wa eneo la Mkwajuni.
 Greda jengine likiwa limepumzika kwa muda wakati wa kuendelea kusawazisha barabara hiyo.
 Hili ni eneo ambalo Usawazishaji wa Barabara unaendelea, ambapo kifusi hicho mbele kinakaribia kuondolewa.
Baadhi ya wahusika wa ujenzi wa barabara hiyo wakiwa wanashauriana jambo wakati kazi inaendelea.
 Huu ni uzio uliowekwa ili wananchi wapite huko na wasiharibu utaratibu wa ujenzi wa barabara hiyo.
Picha na Fredy Njeje

No comments:

Powered by Blogger.