LIVE STREAM ADS

Header Ads

Moto wazuka soko la Mlango Mmoja Jijini Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Moto umezuka na kuteketeza sehemu ya vibanda/ maduka vya wafanyabiashara wadogo katika soko la Mlango Moja Jijini Mwanza asubuhi ya hii leo Septemba 28, 2018 huku chanzo chake kikiwa bado hakijajulikana.

Juhudi za wananchi kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zimesaidia katika kuuzima moto huo ambapo hadi sasa hasara iliyosababishwa na moto huo haijajulikana. Bado hakuna madhara ya kibinadamu ambayo yameripotiwa katika tukio hilo.
Endelea kufuatilia BMG kwa habari zaidi

No comments:

Powered by Blogger.