Biteko apata mapokezi makubwa jimboni, achangia miradi ya maendeleo
Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

SOMA>>>Mbunge Doto Biteko apiga mkutano Mjini Ushirombo
Mbunge wa jimbo
la Bukombe, Doto Biteko (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini jana Septemba 27, 2018 amepata
mapokezi makubwa kwenye awamu nyingine ya ziara zake katika jimbo hilo na
kutumia fursa hiyo kuwahamasisha wananchi kushiriki kwenye shughuli za
maendeleo kwa kuchangia ujenzi wa miradi ya elimu na afya.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kijiji cha Kazibizyo Kata ya Ng'anzo jimboni huo.
Mbunge Doto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini akizungumza kwenye mkutano huo.
Mhandisi Joel Nyanda ambaye ni Fundi Sanifu Mkuu, Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini TARURA wilayani Bukombe akieleza mikakati ya utengenezaji barabara wilayani humo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kazibizyo akizungumza kwenye mkutano huo.
Bonyeza PLAY kutazama BMG Online Tv
SOMA>>>Mbunge Doto Biteko apiga mkutano Mjini Ushirombo
No comments: