LIVE STREAM ADS

Header Ads

Naibu Waziri Doto Biteko atatua mgogoro wa madini Tarime

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko amemtaka mmiliki wa leseni ya uchimbaji dhahabu katika machimbo ya Msege yaliyopo Tarime mkoani Mara, kuingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja na wachimbaji wadogo waliowekeza mitaji yao kwenye machimbo hayo.

Maamuzi hayo ni matokeo ya ziara aliyoifanya jumatano iliyopita Septemba 19, 2018 kwenye machimbo hayo ambapo alimuonya mmiliki huyo Mwita Chacha Wambura (Dochi), kuheshimu maamuzi yaliyoafikiwa kwani amekuwa akikwepa kusaini makubaliano yaliyopo ambapo anapaswa kupata asilimia 40 ya mauzo ya dhahabu katika machimbo hayo huku wachimbaji wadogo wakipata asilimia 60.
Tazama BMG Online Tv hapa chini

SOMA>>>BUNDA: Biteko atoa maamuzi sakata la mwekezaji kuwatimua wanakijiji

No comments:

Powered by Blogger.