LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza aagiza ununuzi wa vifaa katika Kituo cha Afya Karume ufanyike haraka

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Matangazo.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhe. John Mongella jana amefanya ziara katika Kituo cha Afya Karume, Manispaa ya Ilemela na kushtushwa na uhaba wa vifaa tiba kwenye majengo mapya yaliyojengwa na serikali kupitia utaratibu wa “Force Account”.

Mhe. Mongella ametoa muda wa siku saba kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo kuhakikisha majengo hayo yanaanza kufanya kazi kama ilivyokusudiwa.
Tazama BMG Online TV hapa chini

SOMA>>> Wananchi wafunguka Ukarabati wa Kituo cha Afya Karume Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.