LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa Mwanza akemea vikali Ushoga

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella (kushoto) amefanya uzinduzi wa albamu ya Injili ya “Jerusalem Band” kutoka kanisa la EAGT Kiloleli chini ya Mchungaji Dkt. Jacob Mutashi, uliofanyika jana Novemba 11, 2018 katika ukumbi wa Belmont Fairmont Hotel Jijini Mwanza.

Mhe. Mongella ametumia fursa hiyo kusisitiza suala la maadili katika jamii na kukemea viashiria/ vitendo vya mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Tazama BMG Online TV hapa chini
Solomon Mkubwa akonga nyoyo za wakazi wa Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.