LIVE STREAM ADS

Header Ads

Masanja anogesha uzinduzi wa Jerusalem Band

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Matangazo.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella (katikati) akizungumza kwenye uzinduzi wa albamu ya kwaya ya "Jerusalem Band" kutoka Kanisa la EAGT Kiloleli lililopo Manispaa ya Ilemela chini ya Mchungaji Mwl. Dkt. Jacob Mutashi (kushoto). Uzinduzi huo ulifanyika jana Novemba 11, 2018 katika ukumbi wa Belmont Fairmont Hotel Jijini Mwanza.
Askofu Eugen Mulisa (wa kwanza kushoto) kutoka kanisa la HHC Alive la Jijini Mwanza akifungua hafla hiyo kwa maombi.
Baadhi ya wanakwaya ya "Jerusalem Band" akiwemo mama mchungaji Dkt. Jacob Mutashi (wa pili kulia).
Miongoni mwa wanakwaya ya "Jerusalem Band" wakipanda jukwaani kusoma risala ya uzinduzi huo.
Mwanafamilia ya "Jerusalem Band", Moses Mutashi akitoa salamu za shukrani kwenye hafla hiyo.
Moses Mutashi (kushoto) akiteta jambo na mshereheshaji Emmanuel Mgaya a.ka. Masanja (kulia).
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.