LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hotuba ya kusisimua ya Askofu Mkuu wa AICT Dayosisi ya Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (pichani) hii leo Disemba 23, 2018 amewekwa wakfu na kusimikwa kazini katika ibada maalum iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini, Askofu Mussa Magwesela katika kanisa la AICT Makongoro Jijini Mwanza.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (kushoto), akila kiapo cha uaminifu.
Jopo la Maaskofu wa Kanisa la AICT wakimweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano.
Jopo la Maaskofu wa Kanisa la AICT wakimweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano.
Jopo la Maaskofu wa Kanisa la AICT wakiongozwa na Askofu Mkuu nchini, Askofu Mussa Magwesela, wakimweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano.
Jopo la Maaskofu wa Kanisa la AICT wakimweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano.
Mama Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza (kushot), akitoa salamu zake.
Mgeni rasmi kwenye ibada hii maalum ya kumweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto).
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.