LIVE STREAM ADS

Header Ads

Serikali yazindua zoezi la ugawaji vitabu vya kiada na uongozi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Serikali imewataka walimu nchini kuhakikisha wanatoa vitabu vya kujifunzia kwa wanafunzi na kuacha kutoa sababu kwamba wanapovitoa huwa vinachakazwa na wanafunzi.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avermaria Semakafu ameyasema hayo leo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolijia, Profesa Joyce Ndarichako kwenye uzinduzi wa kitaifa wa zoezi la usambazaji wa vitabu vya kiada na uongozi ambavyo ni vya mtaala mpya wa darasa la tano, uliofanyika katika Shule ya Sekondari Nyankumbu mkoani Geita.
Tazama BMG Online TV hapa chini
Na Joel Maduka, Geita

No comments:

Powered by Blogger.