Msimamo wa Kanisa la AICT kuhusu Serikali ya Awamu ya Tano
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Askofu Mkuu
wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu
Philipo Magwano akieleza msimamo wa kanisa kwa serikali ya awamu ya tano chini
ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kazini
katika ibada maalum iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini, Askofu
Mussa Magwesela katika kanisa la AICT Makongoro Jijini Mwanza hii leo, Disemba
23, 2018. Tazama BMG Online TV
No comments: