LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella asisitiza utendaji kazi kwa Viongozi wa Dini na Serikali

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akizungumza wakati wa ibada maalum ya kumweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (aliyekaa kushoto). Katikati ni Mama Askofu Philipo Magwano.

Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mkuu Kanisa la AICT nchini, Askofu Mussa Magwesela katika Kanisa la AICT Makongoro Jijini Mwanza, hii leo Disemba 23, 2018.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella ametumia fursa hiyo kufikisha salamu za Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kanisa la AICT kwamba Serikali itaendelea kushirikiana na kanisa hilo katika kuwahudumia watanzania.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Mama Askofu Philipo Magwano
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu Kanisa la AICT nchini, Askofu Mussa Magwesela (wa tatu) pamoja na viongozi mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa nne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu mbalimbali wa Kanisa la AICT wakiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo nchini, Askofu Mussa Magwesela (wa pili kushoto) pamoja na Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (mwenye mataji).
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.