LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbunge Viti Maalum Mkoa Njombe apongezwa kwa juhudi zake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe, Lucas Nyanda (kulia) amemshukru Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa Njombe, Neema Mgaya (kushoto) kwa juhudi zake za kuchochea maendeleo katika Mkoa huo ambapo pamoja na mambo mengine, ameunga mkono ujenzi wa ofisi ya chama hicho kwa kuchangia zaidi ya Shilingi Milioni Saba.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa Njombe, Lucas Nyanda (kulia) amempongeza Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo, Neema Mgaya (kushoto) kwa juhudi zake za kuchochea maendeleo ikilinganishwa na wabunge wengine.
Jengo la Ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.