LIVE STREAM ADS

Header Ads

Barber Shop ya kisasa yafunguliwa Geita "imegharimu zaidi ya Shilingi Milioni 100"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Na Joel Maduka, Geita
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amefungua saluni ya kisasa ya wanaume (Barber Shop), na kuwahimiza vijana wengine kuwa wabunifu katika kujiajiri na kuajiri wengine kwani fursa zipo za kutosha.

Mkurugenzi wa saluni hiyo iitwayo “Smart Barber Shop”, Manjale Magambo amesema hadi kukamilika kwake imegharimu zaidi ya shilingi Milioni 100 na kwamba tayari imetoa fursa ya ajira kwa zaidi ya vijana 10.

No comments:

Powered by Blogger.