LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kanisa la AICT lasisitiza mambo matatu muhimu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT), Askofu Mussa Magwesela (kulia), akionyesha cheti cha kumweka wakfu na kumsimika kazini Askofu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (kushoto), aliyeapishwa Disemba 23, 2018. Katikati ni Mama Askofu Philipo Magwano.

Askofu Magwesela alitumia ibada hiyo kusisitiza waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na viongozi wao kuhakikisha wanazingatia mambo matatu ambayo ni Uaminifu, Uadilifu na Ujasiri katika kuitenda kazi ya Mungu (Tazama BMG Online TV chini).
Askofu wa Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (kushoto) akiwa na mkewe muda mfupi baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kazini Disemba 23, 2018 katika ibada iliyofanyika katika kanisa la AICT Makongoro Jijini Mwanza.
Viongozi mbalimbali akiwemo mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhe. John Mongella (wa pili kushoto).
Mgeni rasmi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo wa dini na serikali.
Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja.
Burudani
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.